The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Sawa Madame B
Kuna fukuto la kujua nan anamiliki makoloni 6kumekuwa na wimbi la thread za aina hii ndani ya siku mbili zimekuja kama 6 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulikoni jaman
Nimezoom tu I'd yako ni kweli unanipenda id za zaman zinanipenda sana
....na nani anaongozwa kwa kudisiwa humuKuna fukuto la kujua nan anamiliki makoloni 6
Jaman huu uzi ungewekwa weekend ungefaa sana kwa kwelii nisingetajwa hata na mmoja ningeandamana mpaka kwenye server za jf[emoji23][emoji23][emoji23]....na nani anaongozwa kwa kudisiwa humu
Hahahhahah
uunganishwe na upi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mada haziishi jamani kaah!
Mods unganisheni uzii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kila siku sijui ndo wapate comments!!kumekuwa na wimbi la thread za aina hii ndani ya siku mbili zimekuja kama 6 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulikoni jaman