Comment za kazi gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kila siku sijui ndo wapate comments!!
Ujumbe?Halafu ujumbe wangu uliuona pm?
Eeeeh uwe uzi mmojaZipo nyingi hizi nyuzi ujue!
Sijui kwa niniIla zingekuwa jukwaa la siasa, zingeungwa fastaaa
Labda wanawaka wall zao zisome hivoComment za kazi gani?
Wanawake wenye flat screen wafupi bila kusahau wanawake wazee [emoji23][emoji23][emoji23]Kesho watakuja na mada ya wanawake wenye vichwa vikubwa Jf
Sifa tu wanapenda wanaume wa humu.Sijui kwa nini
Ewaaaahni shortcut ya mitongozo
KabsaaaWatu wanasemwa kupendwa ni barakaaa
Eeeeh nilkuwa sjui atii kumbe ni sifaaaLabda wanawaka wall zao zisome hivo
Yaani hizo thread zachosha sasa...sifa au upuuzi maana tayari ilishasemwa warudia tenaaSifa tu wanapenda wanaume wa humu.
NakupigiaUjumbe?
Hapana mpenzi.
Mie nilikutumia wasap....
Sijaupata aisee
Kwanza hawajui nyani mzee ndo kakwepa mishale mingi.Wanawake wenye flat screen wafupi bila kusahau wanawake wazee [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuwa wanawake kitabia ila kimaumbo wanaumeSifa tu wanapenda wanaume wa humu.
Hunipendi tena kisa sina chura??Mimi nampenda tu shem wangu-Sky!
Tenaaa hawachelewi kuchezesha makengeza yaooo[emoji57][emoji57][emoji57]Kabsaaa
Japo wenye vijicho pembe wako kibaoo.
hivyo tu yani, mbona jibu rahisi sana kwa hoja nzito?Nakupenda pia mkuu. Shukrani kwa kunipenda