Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

madame spare my ribs jaman! uwiii had nimepaliwa!ahhh wewe mdada ni mwehu namba 1!aaaaaaaaahhhhhhhhh!mwanamke ht akose pesa bado anakuwa romantic anavutia!khaaaaaaaaaa upande wa 2 sasa!afu bora usiwe na pesa na usiwe talkative!pesa huna kelele wewe bar nzima tukuangalie !arghhhh!leo ntacheka siku nzima aisee
Umeona eee.
Mwanamke hata akose pesa vipi....kuitwa mwanamke ni damshi tosha.
Nitanukia, na nitavutika kama big jii.

Mwanaume sasa, beberu si beberu, simba si simba....ili mradi harufu kama yoteeeee!!!!!
Afu ndo ukute ananuka vundo, mama weeeeeeeee....
Kelele miiiingi.
Kisa Id yako kongwe, Id na pesa bhana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante shurti umpe pole si katoka kutafuta anapumua halali yake
Nampa pole najua kaingiza.
Asa huyo wa upande wa pili nampa pole ili tunuse wote ushuzi?
Akajambe mbele huko.
 
Umeona eee.
Mwanamke hata akose pesa vipi....kuitwa mwanamke ni damshi tosha.
Nitanukia, na nitavutika kama big jii.

Mwanaume sasa, beberu si beberu, simba si simba....ili mradi harufu kama yoteeeee!!!!!
Afu ndo ukute ananuka vundo, mama weeeeeeeee....
Kelele miiiingi.
Kisa Id yako kongwe, Id na pesa bhana


hhaaaaaaaaaaaaaaaa madame mbn km dongo tena...haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eti beberu! dah
 
Hahahahah ngoja nifunge bakuli kwanza [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ushafatwa Pm kupewa mkwara.
Utanyea kambi.
Sie tushajitoa mhanga
 
Back
Top Bottom