Hahahahah ngoja nifunge bakuli kwanza [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Ziachie bibi weeee
Kwani shn ngapppppppppp!!!!!
Umeona eee.madame spare my ribs jaman! uwiii had nimepaliwa!ahhh wewe mdada ni mwehu namba 1!aaaaaaaaahhhhhhhhh!mwanamke ht akose pesa bado anakuwa romantic anavutia!khaaaaaaaaaa upande wa 2 sasa!afu bora usiwe na pesa na usiwe talkative!pesa huna kelele wewe bar nzima tukuangalie !arghhhh!leo ntacheka siku nzima aisee
[emoji2] [emoji2]Watuache kabisa.
Wamefanya mpaka tumefunga pm zetu.
Pesa huna kazi kushinda pm.
Bora akasinde bandari akahesabu kontena zinazoingia pale
Hebu hukoo kila siku mambo ndo hayo hayoo!!Uwiii kuna codes kali za Jf ninazo siku nikiziachia kuna watu watazimiaaa walllah
Nampa pole najua kaingiza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante shurti umpe pole si katoka kutafuta anapumua halali yake
InahusuuuuuuHahaaa!!hapo sasa...unaelea mtu mzima mwenzio na masharti atakupangia!!!
Pambe tuuuuuuuuuPesaaa mihelaaa kama ya boss wangu yule wa Kabilaaa mzee wa farangaaa
Umeona eee.
Mwanamke hata akose pesa vipi....kuitwa mwanamke ni damshi tosha.
Nitanukia, na nitavutika kama big jii.
Mwanaume sasa, beberu si beberu, simba si simba....ili mradi harufu kama yoteeeee!!!!!
Afu ndo ukute ananuka vundo, mama weeeeeeeee....
Kelele miiiingi.
Kisa Id yako kongwe, Id na pesa bhana
Ushafatwa Pm kupewa mkwara.Hahahahah ngoja nifunge bakuli kwanza [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Hahahahhahhhaaaaaaaaaaaaaaaa madame mbn km dongo tena...haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eti beberu! dah
ππππ daaah maana zimekuwa nyingi sanaKuna fukuto la kujua nan anamiliki makoloni 6
kama vipi mods waziunganishe tu ππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kila siku sijui ndo wapate comments!!
Hahahahah bado najaza jazaaaHebu hukoo kila siku mambo ndo hayo hayoo!!
Kudamshi kama koteewPambe tuuuuuuuuu
HakikaWashika pembe tiririkeni...
Mikwara kama yoteeeUshafatwa Pm kupewa mkwara.
Utanyea kambi.
Sie tushajitoa mhanga
Ukiiva nitag mm naenda kula barHahahahhah
Umbea na dawa.
Ngoja nikapike mie.
Nisije kula maandishi bureeee.....
Ndo hivyooo mwendo wa kujunjana kimya kimya marufuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah maana zimekuwa nyingi sana