Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Lets Get Together

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2019
Posts
258
Reaction score
429
Hello wakuu, hope mko poa.

Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani?

List yangu + sababu zangu ni hizi hapa;

1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani sana nimuone, nione maisha yake halisi + mbwembwe na tambo zake kama zinaendana na awamu ya tano au ni basi tu changamsha JF. If possible anipe round mbili tatu kwenye Ford Ranger sababu I real like this car.

2/ Zero IQ wish nimuone tubadilishane mbinu kadhaa za uchakataji.
Huyu jamaa anaweza kuwa ni mtu mzito sana gavoo sema ID fake Inaficha mengi, anaweza kuwa ni...

3/ Kiranga Wish nione hata picha yake nione anafananaje maana jamaa ni mbishi sana about mambo ya Imani pande zote (NURU & GIZA) Asee bro hayajakufika ndo maana.. Rudi TZ nenda pande za KIGOMA then eleza unataka logwa utajionea.

4/ Relief Mirzska He seems to be a good guy ever, nimesoma comment yake somewhere and see how good he Is. Keep It up bro wish niwasiliane na wewe Ila I'm not allowed to send PM (dont know why)

5/ GENTAMYCINE Baba lao mzee wa mashushu, thread anaanzisha yeye Ila wachangiaji wote wanakua maadui zake ni mwendo wa mashushu + maneno mbofu mbofu (hahaha)

6/ Hance Mtanashati Wish nimuone Ili nikamilishe utafiti + mawazo yangu kuhusu yeye.. Je ni kweli!! ( Sina maelezo zaidi)

7/ warumi Aseee huyu member ni m'mbea sjapata ona, umbea wote wa IG anauleta JF sidhani kama kuna celebrity hafahamiki na huyu mtu nje ndani, then wish nijue jinsia yake.

8/...

9/...
.
.
.


Distributed Denial-of-Service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…