Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Habari ndugu yangu. Mimi nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?


Hello wakuu, hope mko poa.

Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani?

List yangu + sababu zangu ni hizi hapa;

1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani sana nimuone, nione maisha yake halisi + mbwembwe na tambo zake kama zinaendana na awamu ya tano au ni basi tu changamsha JF. If possible anipe round mbili tatu kwenye Ford Ranger sababu I real like this car.

2/ Zero IQ wish nimuone tubadilishane mbinu kadhaa za uchakataji.
Huyu jamaa anaweza kuwa ni mtu mzito sana gavoo sema ID fake Inaficha mengi, anaweza kuwa ni...

3/ Kiranga Wish nione hata picha yake nione anafananaje maana jamaa ni mbishi sana about mambo ya Imani pande zote (NURU & GIZA) Asee bro hayajakufika ndo maana.. Rudi TZ nenda pande za KIGOMA then eleza unataka logwa utajionea.

4/ Relief Mirzska He seems to be a good guy ever, nimesoma comment yake somewhere and see how good he Is. Keep It up bro wish niwasiliane na wewe Ila I'm not allowed to send PM (dont know why)

5/ GENTAMYCINE Baba lao mzee wa mashushu, thread anaanzisha yeye Ila wachangiaji wote wanakua maadui zake ni mwendo wa mashushu + maneno mbofu mbofu (hahaha)

6/ Hance Mtanashati Wish nimuone Ili nikamilishe utafiti + mawazo yangu kuhusu yeye.. Je ni kweli!! ( Sina maelezo zaidi)

7/ warumi Aseee huyu member ni m'mbea sjapata ona, umbea wote wa IG anauleta JF sidhani kama kuna celebrity hafahamiki na huyu mtu nje ndani, then wish nijue jinsia yake.

8/...

9/...
.
.
.


Distributed Denial-of-Service
 
[emoji23][emoji23]
Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Kaka yangu Kiduku Lilo usisahau ulisema ukija utanitafuta uninunulie hata mishkaki miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSR ukimfahamu utacheka sana jamaa tangu ahitimu pale Patrice Lumumba university enzi wa Boris Yeltsin hajaacha ubabe kitaa


Kufahamiana ni chanzo cha kutekana I wish kumteka kiranga


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wish umteke Kiranga umpeleke huko Kigoma akajionee watu wanapanda mkeka ziwani hadi Congo

Distributed Denial-of-Service
 
Back
Top Bottom