Ni member yupi unamkumbuka hapa JF Aliyekuja pupa akiwa bado mgeni?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kuna. Member wanakuja jf wakiwa ni wageni na wanakuwa na hamu ya kupost kwenye kila thread na bahati mbaya anajikuta kero kwa watu wengi


Mfano jumanne ya wikii hii jf ilipokea member anayeitwa Bia yetu aisee huyu jamaa ni shida hadi saivi anawastani wa comment 10.2 kwa kila saa it means ni comment 249 kwa siku
Akiendelea hivi ndani ya miezi mitatu atakuwa amewapita akina ISIS Pascal Mayalla na Mshana Jr kwa comments walizokusanya kwa miaka 10
Tatizo la huyu jamaa ana comment pumba
 

[emoji23][emoji23]aah


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi huo muda wakuchunguza Mambo madogo ivi unaupata wapi?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Shida ipo wapi mkuu, mwache afurahie uhuru wake by the time being atachoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajifunza ulicho soma shuleni?,uyo bia yetu hatoulizwa kwenye mitiani yako kitaifa dogo sijui tunaelewana?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Akili za wanafunzi ziache tuu

Wewe unaona hili ni jukwaa la wanafunzi?

Ebu angalia avatar yangu ujue professional yangu ni ipi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…