Ni member yupi unamkumbuka hapa JF Aliyekuja pupa akiwa bado mgeni?

Ni member yupi unamkumbuka hapa JF Aliyekuja pupa akiwa bado mgeni?

Kuna. Member wanakuja jf wakiwa ni wageni na wanakuwa na hamu ya kupost kwenye kila thread na bahati mbaya anajikuta kero kwa watu wengi


Mfano jumanne ya wikii hii jf ilipokea member anayeitwa Bia yetu aisee huyu jamaa ni shida hadi saivi anawastani wa comment 10.2 kwa kila saa it means ni comment 249 kwa siku
Akiendelea hivi ndani ya miezi mitatu atakuwa amewapita akina ISIS Pascal Mayalla na Mshana Jr kwa comments walizokusanya kwa miaka 10
Tatizo la huyu jamaa ana comment pumba
Mbona mimi hujanitag?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom