Nalewa bar zenye watu wastaarabu na kwa PESA YANGU weee huogopi?? πAnawajua watu alionao akaamua kujihami kabisa π
Ah c ndo mana mm nakupenda mkinga wangu β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈNalewa bar zenye watu wastaarabu na kwa PESA YANGU weee huogopi?? π
Ww umeanza kustaarabika toka lini?? πππMbona wapare tuliostaarabika tupo, inakuwaje ww unamkabidhi moyo wako mtu asijejua umuhimu wako
Umefahuru. π«‘
π€£π€£π€£ Nishakuwa mkinga wako?!!Ah c ndo mana mm nakupenda mkinga wangu β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
Asante sanaUmefahuru. π«‘
Ah kuna mtu nlkuwa Nampa ukweli wake ndio akaamua kunistaki, ila mbona ht ww ulizawadiwa banWw umeanza kustaarabika toka lini?? πππ
Una mineno ya kukera mpk ukapewa ban
Ndio my love ππ€£π€£π€£ Nishakuwa mkinga wako?!!
apewe mau yake
Wewe hapoAchila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli kimuonekano, wataratibu, focused na ni visionary haswaaa π
π€£π€£π€£ Ile ban haikuwa fair kwanguAh kuna mtu nlkuwa Nampa ukweli wake ndio akaamua kunistaki, ila mbona ht ww ulizawadiwa ban
Hapana mkuu, minajua Jf memba ni wanaume tupo...π€£πππ
Au uzi huku kuna pisi unaijua?
Ila mm nlivoona una ban, nkatafuta mnyonge wa kumpa ukweli wake ili na Mm niwe na ban kama yako, na hadi nikakadiria muda wa ban kuisha ili wote tufunguliwe tusipishane sana.π€£π€£π€£ Ile ban haikuwa fair kwangu
Mbona iko poa mzee wangu.....ππIla hio avatar yakoπ€£
Aka! Mm natak kusutwaππUpo na ubuyu hapo nikupigie? πππ
UmefahuruβUmefahuru. π«‘
Usilewe sana unasiri zetuπππππππ wifi na nipo nalewa hapa!! Ulijuaje??
Wifi yangu mimi huyoooo.!! Utraamu wa kaka yangu. Mwah ππ
why silence?Please can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?π«napitwa sana na mada kama hizi.