Yusufu Manji, uamuzi ambao umepitishwa kwa kauli moja ...
Wewe kama shabiki wa yanga umeifanyia nini yanga mpaka muda huu.na mpaka sasa tajeni vitega uchumi vya yanga ambavyo vinaipatia yanga pesa.
Jibu zuri sana. Waswahili kila kitu hadi kiwe kimefanyika ulaya. Nonsense. Yanga tumeanza wengine waje kujifunza!Ndio ume asisiwa na Yanga,hivyo wengine watajifunza na kuiga kwa yanga,
Si Kila kitu kiwe ulaya
Nawaza tuuuu
Kesho Yanga watainunua mikia ili iwe academy yaoLeo wanachama wa Yanga wamechekesha sana. Wamenikumbusha mikataba ya ukodishaji mashamba inayofanyika vijijini kati ya wakulima na madalali. Hivi na Yanga nao wanakodisha timu?
Jibu zuri sana. Waswahili kila kitu hadi kiwe kimefanyika ulaya. Nonsense. Yanga tumeanza wengine waje kujifunza!
Kuna mchambuzi mbuzi moja anajifanya kujua kila kitu lakini hamna kitu.
Tanzania ni mashabiki mandazi,Leo wanachama wa Yanga wamechekesha sana. Wamenikumbusha mikataba ya ukodishaji mashamba inayofanyika vijijini kati ya wakulima na madalali. Hivi na Yanga nao wanakodisha timu?
Okey hujawahi kuusikia, basi huu ni mfumo mpya ndiyo umeusikia sasa.
Watu wengine,wamezoea kuiga kuiga tu,hawawezi kubuni vyao..hapa Manji kafanya koziJibu zuri sana. Waswahili kila kitu hadi kiwe kimefanyika ulaya. Nonsense. Yanga tumeanza wengine waje kujifunza!
Kuna mchambuzi mbuzi moja anajifanya kujua kila kitu lakini hamna kitu.
Subiri mfumo uanze kufanyakazi kwanza then utajifunza faida na hasara.Lengo la kwanza limefikiwa, wengi mnajibu humu kuwa ndio umeasisiwa Yanga, well and good. Kama kuna mtu anaufahamu atupe maelezo zaidi tujue unavyofanya kazi. Wakati ule wa mfumo wa hisa na kampuni umezoeleka huko duniani lkn huku kwetu bado ndio tunajifunza, ningetamani kuujua huu nao unavyofanya kazi, faida na hasara zake
Subiri Jerry Muro atakupa maelezo ya ziada usiwe na haraka.Lengo la kwanza limefikiwa, wengi mnajibu humu kuwa ndio umeasisiwa Yanga, well and good. Kama kuna mtu anaufahamu atupe maelezo zaidi tujue unavyofanya kazi. Wakati ule wa mfumo wa hisa na kampuni umezoeleka huko duniani lkn huku kwetu bado ndio tunajifunza, ningetamani kuujua huu nao unavyofanya kazi, faida na hasara zake
Watu wengine,wamezoea kuiga kuiga tu,hawawezi kubuni vyao..hapa Manji kafanya kozi
1..lile jengo la mtaa wa Mafia Yanga hana hati nalo 'hati'iko kwa mtu..
2..jengo la club kaishakarabati sana hkn jipya pia nalo hati iko znz ,karume family
3..uwanja wa kaunda ujenzi wa kibali utata mpk leo..
NDIO MAANA KAWAACHIA MAJENGO YAO..
Plan B..ya Manji
1..kuichukua nembo ya Yanga kuifanyia biashara
2..kuichukua timu na kuihudumia maana ndio 'roho' yenyewe (Km anavyofanya sasa)
.
PLAN C
1..kuhakikisha Yanga inafanya vzr ktk mashindano ili aitambulishe logo vzr,afanye biashara
2..kuihudumia timu ili lengo namba 1,litimie (sasa staff wote wa yanga watakua wafanyakazi wa Manji)
Naendelea kuwaza NDANI na NJE ya BOX