- Thread starter
- #21
Subiri Jerry Muro atakupa maelezo ya ziada usiwe na haraka.
Huyo hawezi kuwa reference kwa mtu kama mimi. Kuna aina ya watu anaweza kuwa shujaa wao, sio mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri Jerry Muro atakupa maelezo ya ziada usiwe na haraka.
kanjibahi iko waza mbali sanakanjibahi janja thana
na loloteNimepokea kwa mshangao taarifa ya kusudio la kukodishwa kwa klabu ya Yanga kwa M/ kiti wake Yusufu Manji, uamuzi ambao umepitishwa kwa kauli moja na mkutano mkuu leo hii tarehe 6 Agosti 2016. Kwa umri wangu huu wa utu uzima wa kati sijawahi kusikia mfumo wa namna hii kwa uendeshaji wa klabu ya mpira wa miguu duniani. Naomba kwa yeyote mwenye kuufahamu mfumo húu anielezee na mm, ili tujifunze kwa pamoja ufanisi wa mfumo huu huko duniani. Lkn pia nataka kujua huu mkutano ulioitishwa kwa dharura ulikuwa ni kwa ajili ya ukodishwaji huu pekee au kulikuwa ni kitu kingine cha msingi?