Ni Mfumo Gani Huu wa Uendeshaji Ndani Ya Yanga?

Kifupi hii ni sawa na kwamba wewe una shamba lako, lipo sehemu nzuri kwa kilimo lakini umeshindwa kuliendeleza kwa kuwa huna uwezo.
Mimi nakuja kuomba unikodishe nilime kwa muda wa miaka kumi, nitalima kwa gharama zangu, nikipata gunia mia, mimi nachukua gunia75 na wewe nakupa gunia 25.
Umeelewa?
 
Hu na lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…