Hapana,ilikuwa mkutano wa kampeni Jangwani kama sikosei.Kama niko sawa, hii kauli alitoa akizindua something NMB akasema kila m Tanzania awe na akaunti hata ukiwa lofa huwezi kosa elfu kumi ya kufungua akaunti.
Mama unazeeka sasa.Kama niko sawa, hii kauli alitoa akizindua something NMB akasema kila m Tanzania awe na akaunti hata ukiwa lofa huwezi kosa elfu kumi ya kufungua akaunti.
Okay kila mmoja aamini what he knows.Mama unazeeka sasa.
Kauli ya kuwa wanaotaka mabadiliko ni malofa au wavae siketi hii aliitoa katika majukwaa ya kisiasa.
😁😁😁 SawaOkay kila mmoja aamini what he knows.
fala wewe.
Ndo ulofa wenyewe alikuwa sahihiSasa Chadema kwa miaka 20 wameongozwa na Mwanaccm Mbowe bila kumjua, Huo sio Ulofa? 🐼
Hapana, hakuwa akiongea mambo ya benki wala biashara. Alikuwa anafoka kuhusu kitu na ndio maana akasema "ni malofa tu hao" na alikuwa amepaniki balaa anaongea kwa jazba sana. Video mbona zipo.Kama niko sawa, hii kauli alitoa akizindua something NMB akasema kila m Tanzania awe na akaunti hata ukiwa lofa huwezi kosa elfu kumi ya kufungua akaunti.
una hoja,usikilizweSasa Chadema kwa miaka 20 wameongozwa na Mwanaccm Mbowe bila kumjua, Huo sio Ulofa? 🐼