Ni miaka 16 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

Ni miaka 16 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

Wengine fungus imekula sana inaweza leta hiyo effect. Inabid kutafuta tiba ya kina.
Kuna kaka mmoja nlipishana naye stand ubungo pale ananuka jamani sijawahi kuona. Harufu ilikua mkojo+jasho+nya+kutokuoga Nilitapika pale pale
pole sana.
 
Hiyo inaitwa "malodor from swine" ni tatizo haswa.

Una uhakika hujamtamani nguruwe ulipokuwa unawahudumia ukafanya ujinga?

Biblia, Mambo ya walawi 11
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
 
Back
Top Bottom