Ni miaka 17 tuuu!


mmh! Amsubirie japo 5 yrs, binti awe na 22 njemba 40. Mmh! Kababu na kajukuu. Lol!
 
asiogope-yeye aoe tu-mimi kuna ndugu yangu wa 1970 ameoa binti wa 1992- so kwa huyo anaweza kuoa tu bila tatizo lolote
 
mnh fataki tu huyo.....usimpe kivuli kisa ndugu yako,angekuwa huyo msichana ni binti yako je?
 
mmh! Amsubirie japo 5 yrs, binti awe na 22 njemba 40. Mmh! Kababu na kajukuu. Lol!

Lakini si ndio nyinyi Husninyo,
huwa mnasema kuwa age aint nothing katika mahusiano ya kimapenzi!!!!
 
Kama si mwanafunzi mbona inaruhusiwa kuoa kisheria. Ila nina wasiwasi hamna penzi hapo ni tamaa tu, na binti atakuwa alikuwa amemg'ang'ania jamaa. Iweje mpaka ufikie kuoa mtu hujamuuliza umri wake mpaka nduguzo wakuulizie?

Huyo binti kama hata fee ya shule ilikuwa issue basi hata yeye hamna cha penzi hapo, ni hali ngumu ya maisha ya kwao. Wamekutana matapeli wa mapenzi wawili!
 

Jimmy tatizo liko wapi?
Osama alimwoa mke wake mdogo wakti huyo bint wa kiyemen akiwa 18 na Osama 42!
Iko mifano mingine mingi tu
 
mimi hapa bado sijaelewa core issue. Kisheria kwa kadri ya sheria ya ndoa tanzania wanaruhusiwa kuoana. Kimaadili 35 na 17 is too much a gap lakini bado jamii na dini inaruhusu watu hawa kuoana. Niseme hivi mwanamke wa miaka 17 ana maturity tosha kabisa.....kazi kwao
 

Jamaa kapiga mzigo kachoka ndo anajidai kadogo, hakuna muoaji hapo.
 

Lizzy kwani baada ya miaka mitano jamaa atakua 4t kumbuka bado anasubiriaga tu mh yataka moyo.
 
Watoto waskuhizi wakubwa kuliko wazee madharau tuache.
 
Mhh tatizo ndo ilo la kumlazimisha kuoa asinge fanya right decision yoyote so ilo ndo lilikuwa lakutegemea.
 
si avute subira hadi atimize miaka 18? yeye si ndo muoaji? kwa taratibu za waafrica mwanaume si ndo anapanga ndoa lini? all in all hilo la skuli mmmmh ina maana dogo kaishia la saba?
 
Avute subira ili aje kupata heri, 3 years inatosha jamaa kupata mwenza. Siku zote watu wachelewao kuoa huwa wanasumbua, wanamatatizo na sio watu makini!
 



Miaka hii mabinti wanavyokua haraka... kweli unaweza usijue hata age.... Kuna wadogo wengine wamezaliwa umembeba na mgongoni but akikukuta hasa in the company of guys... badala ya shikamoo Da Asha D. inakua mambo dada... tabasamu mpaka mwisho (na ni mzuri, umbile kubwa... unabaki kutikisa tu kichwa)

En ways huyo kaka kaishi 35 years hajaona mwanamke wa kuoa.... sijui problem yake kubwa ni nini, but I think he is not comfortable in the company of women especially matured, inawezekana anataka saana mwanamke wa kumtegemea na sumsikiliza kila kitu and any man can get than in a teenage girl... Msipo angalia anaweza asioe kabisa..
 
Amsome tu anaweza kuwa mdogo kwa umri ila ana mawazo ya kikubwa na mnaweza kuwa familia nzuri tu, mchunguze kwa kina then fanya maamuzi.na aking'ang'ania mkalishe chini ukiwa na watu wazima umweleze unavojisikia
 
Huyo jamaa asilete visingizio hapa, uzembe wake na kutokuwa makini ndo kumemponza coz haiwezekani ukimbilie conjugal alafu umchakachue binti wa watu then umuache kwa kisingizio cha umri? why hakuuliza kwanza kabla hajafanya yote hayo? Kwa sababu alipaswa kujua mapema! Aoe au amsubirie umri uongezeke hamna kuacha, kama aliona umbo ni kubwa basi na akili aione hivyooo hivyooo!! Inaudhi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…