huo ni mtazamo wako mkuu..me binafc cjaona kitu kilimanjaro.
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya
mkuu hapo kwenye nyekundu karudie homework yako!
Number moja Waoo ..ntalala unono leo.
Weekend njema ..
Mi labda nitaje makabila . Wambulu , warangi , wanyaturu ,wahaya nawajumlisha wanyakyiusa sababu ya figa.
Number moja Waoo ..ntalala unono leo.
Weekend njema ..