Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya
 
Ondoa dar bwana,dar wengi wakuja tuuuuuuu......Kilimanjaro na Arusha kuna totoz za ukweeh kinomaaaaa.
 
mhh na mara imo tena kwenye Top ten Wapi singida. Hii list yako inaonekana huijui Tanzania vizuri au tupe vigezo vyako. Inawezekana hutumii vigezo vya macho tu.

Ni Mtazamo tu
 
Mi labda nitaje makabila . Wambulu , warangi , wanyaturu ,wahaya nawajumlisha wanyakyiusa sababu ya figa.
 
Labda Dare es Salaam, kwa sababu wa mikoa yote Tanzania wanapatikana!
 
no.1 kwa mama, 5 kwa baba basi mie wa ukwel teh teh
 
Hivyo ulivyo'list No 1 to ....
Ndiyo umeifatanisha kwa Rank quality au changachanganya tu ?
Vigezo kuzingatiwa ni vipi ?
 
Totoz ziko Tabora, Singida na Iringa.
 
Hivyo ulivyo'list No 1 to ....
Ndiyo umeifatanisha kwa Rank quality au changachanganya tu ?
Vigezo kuzingatiwa ni vipi ?

nimezngatia uzur wa reception na figga tu.
 
Back
Top Bottom