Ni mikoa gani hapa bongo inaongoza kutoa totoz za ukweli?

Mi sijaelewa kidogo,ni origin regions au pahali watu wanaishi?kama ni the latter,Dar itaongoza..
 
Masharti ya kuoa manyara ni rahisi sana!lkn yanaweza kuwa magum!kwani ni lazima uwe mrefu(kimo) hawataki mbegu fupi@Leonard
 
Sasa jamani hadi Zanzibar mliwaonaje wakati wanavaa kininja
 
Nadhani unayajua/umeshayasikia mashuka ya kimasai!na wazungu huenda kuushangaa utamaduni huo!kwani wamasai wana viwanda vya kutengezea hayo mashuka?@ kongosho
 
Manyara sawa nakubali!umechemka kwa kutoiweka Singida!huko kuna totoz za ukweli,'potabo',na zaidi ya 90% ni weupe(kwa asili)sasa kagera umeiweka kwa kigezo kipi?

Hata wahaya wanalipa jamani eeee
 
Mikoa mingine mbwembwe tu kama huko kaskazini wazuri wa sura harafu miguu spoku!Njoo Tabora ukutane na totooz za kinyamwezi(Kinyamwenga) nzuri kuanzia sura,shape hadi tabia!!Dada zangu wa ukweli wacha tu niwafagilie aisee!!
 
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya

Kwani kuna mkoa wenye watoto wabaya?acheni kumkufurumungu
 
Masharti ya kuoa manyara ni rahisi sana!lkn yanaweza kuwa magum!kwani ni lazima uwe mrefu(kimo) hawataki mbegu fupi@Leonard

da! Mbona mimi mfupi lakini nilikwenda filidi huko maeneo ya bashnet babati nikapata mtoto anaitwa tedy kakubali nimuwowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…