Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa dar bwana,dar wengi wakuja tuuuuuuu......Kilimanjaro na Arusha kuna totoz za ukweeh kinomaaaaa.
Masharti ya kuoa manyara ni rahisi sana!lkn yanaweza kuwa magum!kwani ni lazima uwe mrefu(kimo) hawataki mbegu fupi@Leonard
Manyara sawa nakubali!umechemka kwa kutoiweka Singida!huko kuna totoz za ukweli,'potabo',na zaidi ya 90% ni weupe(kwa asili)sasa kagera umeiweka kwa kigezo kipi?
lazima nioe Manyara!!
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya
Masharti ya kuoa manyara ni rahisi sana!lkn yanaweza kuwa magum!kwani ni lazima uwe mrefu(kimo) hawataki mbegu fupi@Leonard
Kwalaang' morii..Karibu sana!! Nina wadogo wengii
@ Tedo, mkuu ni IRAQW siyo IRAQ.
kuna mtoto lazima nimuwowe..saitaaaaaaaa