ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nchii hii Kuna mikoa imejaaliwa maji na ukijani wa kufa mtu, mikoa inayopatikana katika nyanda za juu Mara nyingi unakuwa na vyanzo vingi vya maji yaani Mito, kwa leo labda tuangalie mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya nyanda za juu kaskazini. Naomba kuuliza mikoa ipi Ina Mito na vyanzo vya maji vingi yaani chemchem.
Kanda ya ziwa nimeiacha lakini nitaweka mkoa mmoja tu.
Wajuvi ipi mikoa Ina mito mingi Kati ya hii, Njombe, iringa, morogorogo, mbeya,Arusha, Kilimanjaro, kagera, ruvuma
Kati ya mikoa hii naamini namba moja Hadi tatu ipo hapa.
Kanda ya Kati na kwa wasukuma kukavu Sana,