Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Choice ya dawa huwa ni zaidi ya moja ndio.
Lakini swali linakuja unaweza tibu minyoo kwa Amoxicillin ??
Mbona sasa huku siko kabisa mheshimiwa. Ni nje ya reli.
Nilichojaribu kueleza ni kuwa guidelines/advice zipo. Kutokutajwa dawa fulani kwenye guidline haimaanishi haitibu. Unatakiwa kuifuata guidline huku ukitafasiri hali ya sehemu uliyopo pamoja na scientific evidences.
Ukienda kwenye literature, dawa inahusika na somo hilo ila daktari husika anaweza kuwa na sababu kwa nini ameitumia. Hivyo si kwamba haitibu.
Watu wanatibu mpaka off-lebal pale ambapo kuna scientific evidence.