Choice ya dawa huwa ni zaidi ya moja ndio.
Lakini swali linakuja unaweza tibu minyoo kwa Amoxicillin ??
Basi nikwambie hivi hizo dawa hata mimi nimekunywa na hazikusaidia kitu.Mbona sasa huku siko kabisa mheshimiwa. Ni nje ya reli...
Basi nikwambie hivi hizo dawa hata mimi nimekunywa na hazikusaidia kitu.
Mimi pia muhanga, sasa sijui utaendelea kubisha ?
Hahahhaha kweli ww ni kitombi... malizia seheee, we vipi..! badala ya kufurahia kuepukana na huo usumbufu wa kutokwa damu kila mwezi na kupata hasara ya kununua pedi, we unalilia hiyo hali...!!
wenzako wanaigombania hiyo bahati uliyoipata wewe.