Ni Mimi Blagoveshchensk nikaribishe

Joined
Feb 25, 2018
Posts
90
Reaction score
76
Hello habari za wanajamii

Kwa jina naitwa Blagoveshchensk
Ni mtanzania niishiye Ukraine , Dnipropetrovisk

Mama yangu mchaga Baba m-ukraine

Nimekaa Tanzania miaka 18
Nimesoma Tanganyika International Schools,

Nadhani Paul (P-funk)fu Mzungu kichaa mnanikumbuka Blagoveshchensk

Mi nimebobea katika siasa na uchambuzi wa siasa ndo maana nimeamua nijiunge Kwa jamiiforums leo

Thanx
 
Umejiunga tu Jf ukajua na namna ya kubold[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umejiunga tu Jf ukajua na namna ya kubold[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani bolding si inaonekana?? Mi nimetumia pc kabla hazijaja Tanzania, n member wa forums mbali mbali duniani ambazo jamiforums ilikopi mfumo wake uko uko, hakuna tofauti ya muundo na operations zake ni sawa

Sasa bolding unadhani ni jambo la kushangaza??

Tanzania bado sana
 

HAPO KWENYE RED... ILIKUWA MWAKA GANI HIYO MKUU??
 
Alafu kajiunga tu na kujua namna ya kubold.
Usiwe mshamba inaonekana we umejiunga forum moja Tu Jamiiforums ambapo unasahau kwamba si lazima uwe member wa jamii forums ndo ujue kubold hahaha dah Tz tuko nyuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…