Blagoveshchensk
Member
- Feb 25, 2018
- 90
- 76
- Thread starter
-
- #21
Ndo hiviSAWASAWA MKUU...
NimeoaUMEOLEWA?
Hahaha kwanini mkurugenzi?Aya karibu
Ila umekuja kwa ubabe
Mi na mange ni mafuta na majiUmetumwa na mange au???tujue mambo kama tunadeal na mbumbumbu au mtu mwenye akili timamu
Nimepazoea Kwa kuwa Mimi ni member wa forums nyingi, najua debates najua mambo mengi mno juu za forums kwahiyo sioni kipya nilokuja nachoKaribu, japo umepazoea kuliko sie wenyeji, yaani kama vile umeingia na silaha, unatutisha mkuu, wasiojulikana wapo humu sijui ni ndugu zako!
Mi ni raia wa Tanzania japo Baba yangu ni UkraineKaribu sana.... Karibu Tanzania tena...
Je wewe ni raia wa wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu, japo umepazoea kuliko sie wenyeji, yaani kama vile umeingia na silaha, unatutisha mkuu, wasiojulikana wapo humu sijui ni ndugu zako!
Isiwe swagga tu dogo.Hello habari za wanajamii
Kwa jina naitwa Blagoveshchensk
Ni mtanzania niishiye Ukraine , Dnipropetrovisk
Mama yangu mchaga Baba m-ukraine
Nimekaa Tanzania miaka 18
Nimesoma Tanganyika International Schools,
Nadhani Paul (P-funk)fu Mzungu kichaa mnanikumbuka Blagoveshchensk
Mi nimebobea katika siasa na uchambuzi wa siasa ndo maana nimeamua nijiunge Kwa jamiiforums leo
Thanx
Nashukuru Umekaa Miaka Mingi Mbele na Bado Unakiswahili Cha Kimtaa Kabisa, Umeonyesha Uzalendo Wa Hali Ya Juu. Karibu Sana MkuuNimeanza kutumia computer mwaka 1986 nikiwa shuleni Martin cock hedemora sweden
Safi mukuuNashukuru Umekaa Miaka Mingi Mbele na Bado Unakiswahili Cha Kimtaa Kabisa, Umeonyesha Uzalendo Wa Hali Ya Juu. Karibu Sana Mkuu
Sugu maskinTutakutana huko kwenye siasa.
Hot topics kwa sasa ni majina ya Musiba, Hukumu ya Sugu na Rais kuamuru wapiga kura wake wasivunjiwe nyumba.