Ni Mimi Blagoveshchensk nikaribishe

Ni Mimi Blagoveshchensk nikaribishe

Karibu, japo umepazoea kuliko sie wenyeji, yaani kama vile umeingia na silaha, unatutisha mkuu, wasiojulikana wapo humu sijui ni ndugu zako!
 
Umetumwa na mange au???tujue mapema kama tunadeal na mbumbumbu au mtu mwenye akili timamu
 
Karibu, japo umepazoea kuliko sie wenyeji, yaani kama vile umeingia na silaha, unatutisha mkuu, wasiojulikana wapo humu sijui ni ndugu zako!
Nimepazoea Kwa kuwa Mimi ni member wa forums nyingi, najua debates najua mambo mengi mno juu za forums kwahiyo sioni kipya nilokuja nacho
 
Karibu, japo umepazoea kuliko sie wenyeji, yaani kama vile umeingia na silaha, unatutisha mkuu, wasiojulikana wapo humu sijui ni ndugu zako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hello habari za wanajamii

Kwa jina naitwa Blagoveshchensk
Ni mtanzania niishiye Ukraine , Dnipropetrovisk

Mama yangu mchaga Baba m-ukraine

Nimekaa Tanzania miaka 18
Nimesoma Tanganyika International Schools,

Nadhani Paul (P-funk)fu Mzungu kichaa mnanikumbuka Blagoveshchensk

Mi nimebobea katika siasa na uchambuzi wa siasa ndo maana nimeamua nijiunge Kwa jamiiforums leo

Thanx
Isiwe swagga tu dogo.
 
Tutakutana huko kwenye siasa.

Hot topics kwa sasa ni majina ya Musiba, Hukumu ya Sugu na Rais kuamuru wapiga kura wake wasivunjiwe nyumba.
 
Back
Top Bottom