Ni mimi tu auu??

Ni mimi tu auu??

Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
hi!
hili hunitokea kila mambo yanaponiwihi magumu given that nimeinvest a lot of time.
Pamoja na ukosoaji mwingi you are normal
wewe tafuta namna ya kubreak thru unapojikuta upo kwenye huu mzingo.
Neva and eva stay alone,jifungia chumbani.
 
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..


AD pole dear... really really hope everything turns out right soon, I like the idea that you have shared your pain and frustrations you feel - hivyo utapata mawazo mbali mbali mazuri toka kwa wana JF, AD nakusihi uwe strong (i know si kazi rahisi) but whatever is bothering you do not let it control you; mana vitu kama hivyo hufanya mtu kutafakari zaidi ama kukuchanganya zaidi. Wish you all the best na nakuombea kwa Mungu akuwekee wepesi na uweze pita hili jambo vizuri...
 
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..

Pole kwa yanayokukuta my dear...
Naungana na wengine waliosema, mshirikishe Mungu katk unayopitia, na yeye ni mwaminifu atakusaidia!

Praying for you my dear!
 
Kwa mujibu wa maneno yako na kwa hizo fikira..naweza kusema pole kwa hilo, na jaribu ku-avoid kufikiria hivyo katika maisha..! lakini katika hali ya kawaida mtu unaweza kujikuta unafikiria hivyo, that is true kabisa haijalishi unamaisha mazuri, ya kawida au ya hali ya chini! ukiwa kama binadamu majaribu ni mengi sana katika dunia hii hapo ndio inakuwa rahisi kufikiria vitu kama hivyo tena unaweza hata kujiuliza lini na itakuaje mwisho wa maisha yangu katika hii dunia! but if you are always happy its very hard to have that kind of thinking but the question is...will u be always happy?
 
Pole AD
mara nyingi huwa inatokea pale unapokuwa umepata shida za hapa na pale
naungana na wote wanaosema mshirikishe Mungu kwani ndiye muweza wa yote
sio vibaya ukijichanganya na marafiki kushirikishana story kuondoa msongo wa mawazo
 
My dia AD
Unahitaji someone wa kukufariji.
Mimi nilikuwa naamini wewe ni mdada mwenye furaha na maisha yako na unapata raha za kuishi. Hii sredi umenishtua sana.

Bahati simufahamu zaidi ya jina AD
Ningefurahi kupata nafasi ya kuongea na mtu kama wewe kukuondoa fikra kama hizo.
Kila nikisoma ulivyoandika na maneno uliyotumia naanza kupata picha ya jinsi ulivyo kimawazo.

My love AD, ru there???

kaka onatu watu tunapita mtaani na tai na magari mazuri, wake na watoto wazuri ila ukijua yaliyomo kwa moyo unaweza kujiona we ni tajiri sana kama una amani na fuaha ya moyo
 
Wapendwa wangu wote
samahani sana na ninashukuru kwa
michango yenu wote na washukuru wote walioniambia
Chocho nimtangulize Mungu.. kwa ninachopitia sintoweza kabis
kuvire kebisha kwani kazi ya Mungu haina makosa... asanteni
wapendwa Mungu awaongezeee... Kweli kuna kupanda na kushuka
katika maisha.... mbarikiwe..
 
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..


POLE SANA AFRODENZI,
POLE SANA SANA SANA...Nashindwa nikuambia nini zaidi ya neno hili
POLE.....pole sana mwanangu au mdogo wangu, pole sana.
 
Wapendwa wangu wote
samahani sana na ninashukuru kwa
michango yenu wote na washukuru wote walioniambia
Chocho nimtangulize Mungu.. kwa ninachopitia sintoweza kabis
kuvitekebisha kwani kazi ya Mungu haina makosa... asanteni
wapendwa Mungu awaongezeee... Kweli kuna kupanda na kushuka
katika maisha.... mbarikiwe..
Mhh!!! Now i understand kumbe ni ile ishu, take step by step
 
Nadhani kuna maswali mawili yako katika hoja husika. kuna ugumu wa maisha na kujua lengo la uhai/maisha. kwa jibu rahisi swali la ugumu wa maisha litajibiwa kwa kinyume chake yani ni kuwa na maisha mazuri which means kuachana na huo ugumu/ukali wa maisha. hili ni jibu rahisi sana. lakini nionavyo mimi ugumu wa maisha ni swali zito zaidi. kuna haja ya kuitazama dhana yenyewe ya 1. maisha/uhai 2. kwa nini yawe magumu, na huo ugumu wenyewe ni nini na lengo lake ni nini. sio maswali mepesi hata kidogo na nadhani, if i get AD well kama ninavyomwelewa mimi (from her other posts) ndicho anachotafuta kukijua. am sorry kwa sababu ya limitation ya time niliyonayo sasa, I will not be able to dwell into hizo 1 & 2 nilizozisema hapo juu.

Kuhusu hoja ya kwa nini mimi, nadhani ni swali na msingi na ambalo baadhi yetu hujiuliza. nadhani msingi wake ni kutaka kujua sababu ya maisha na lengo la binadamu duniani. jibu linaweza kuwa rahisi, i.e. kurudia misaafu na kupata mipangilio ya Mungu kwetu wanadamu.

Kwa wale ambao wamewahi kufanya meditation watajua kuwa ili kufikia stage ya enlightment, kuna several steps in meditation ambazo one has to achieve kabla ya kujitambua kuwa yeye ni nani, na yuko wapi kwenye huu mwili na roho yake. ukishafika hapo ni rahisi kujua lengo lako la kuwa duniani ni nini.

lakini jibu linaweza lisiwe rahisi hivyo kama unalitazama hili swali in not in metaphyisacal way. Mimi ni nani niko wapi katika hii framework niliyomo na purpose ya uwepo wangu kwenye haya maisha na kwa waqt huu ni nini haswa. sio dhana nyepesi kuitolea majibu na nadhani inahitaji muda mrefu kuitafakali na kuiandikia.

naomba kutoa changamoto kwa great thinkers kuzama na kutujuza. ntarudi baadae (nikimaliza nikifanyacho kwa sasa) kuendeleza baadhi ya hoja nilizochokoza
 
pole sana mydear ila si ww tu.....mm najiskia ivo mara nyingi sana na nikiwa hivo naitoa hiyo hali kwa kulala tu hata nikiwa job ntajitahidi nitafute chamber iliyojificha nalala ila kusema kweli iyo hali inaboa sana
 
Jithaminishe na kila mtu anaekuzunguka atakuthamini, jipende na kila mtu atakupenda, yapende maisha na yenyewe yatakupenda..... Love is to give and to receive wapende watu wanaokuzunguka nao watakupenda tu. Jiamini ndugu yangu kwamba hakuna kiumbe hai mwenye thamani kama wewe kila kitu kitaenda sawa, thaminisha maisha yako kwamba kuna watu walitaka wawe hai walishindwa kwa sababu mbalimbali hawako duniani, ila wewe unayo nafasi ya kuishi na kubadili maisha yako yawe ya furaha na amani.
Jaribu kufanya vitu vinavyokufurahisha mwali mambo yataenda vizuri. Pole na Mungu akubariki
 
Wapendwa wangu wote
samahani sana na ninashukuru kwa
michango yenu wote na washukuru wote walioniambia
Chocho nimtangulize Mungu.. kwa ninachopitia sintoweza kabis
kuvire kebisha kwani kazi ya Mungu haina makosa... asanteni
wapendwa Mungu awaongezeee... Kweli kuna kupanda na kushuka
katika maisha.... mbarikiwe..

Please AD, kindly allow me to say the following:

What you see below was sent to me by a friend when I was in unspeakable situation, I don't know yours but I hope you will appreciate it as much as I do.
I see a lot in this that can apply to my life (in this case in your life AD).
Please don’t get offended if you are not a Christian, the important thing is its core message.


There are people who can walk away from you. And hear me when I tell you this! When people can walk
Away from you: let them walk. I don't want you to try to talk another person into staying with you, loving you, calling you, caring about you, coming to see you, Staying attached to you. I mean hang up the phone.


When people can walk away from you let them walk. Your destiny is never tied to anybody that left.
The Bible said that, they came out from us that it might be made manifest that they were not for us.
“For had they been of us, no doubt they would have continued with us” [1 John 2:19]


People leave you because they are not joined to you. And if they are not joined to you, you can't make them stay. Let them go. And it doesn't mean that they are a bad person it just means that their part in the story is over. And you've got to know when people's part in your story is over so that you don't keep trying to raise the dead.

You've got to know when it's dead. You've got to know when it's over. Let me tell you something. I've got the gift of good-bye. It's the tenth spiritual gift, I believe in good-bye. It's not that I'm hateful,
it's that I'm faithful, and I know whatever God means for me to have He'll give it to me. And if it takes too much sweat I don't need it. Stop begging people to stay. Let them go!!


If you are holding on to something that doesn't belong to you and was never intended for your life, then you need to......
LET IT GO!!!
If you are holding on to past hurts and pains......
LET IT GO!!!
If someone can't treat you right, love you back, and see your worth.....
LET IT GO!!!
If someone has angered you,
LET IT GO!!!
If you are holding on to some thoughts of evil and revenge......
LET IT GO!!!
If you are involved in a wrong relationship or addiction......
LET IT GO!!!
If you are holding on to a job that no longer meets your needs or talents
LET IT GO!!!
If you have a bad attitude.......
LET IT GO!!!
If you keep judging others to make yourself feel better......
LET IT GO!!!
If you're stuck in the past and God is trying to take you to a new level in Him........
LET IT GO!!!
If you are struggling with the healing of a broken relationship.......
LET IT GO!!!
If you keep trying to help someone who won't even try to help themselves......
LET IT GO!!!
If you're feeling depressed and stressed .........
LET IT GO!!!
If there is a particular situation that you are so used to handling yourself and God is saying "take your hands off of it," then you need to......
LET IT GO!!!
Let the past be the past. Forget the former things. GOD is doing a new thing for this New Day!
LET IT GO!!!
Get Right or Get Left.. Think about it, and then,
LET IT GO!!!
"The Battle is the Lord's!"

My take:
This is best summon I have ever heard from T. D. Jakes, it might change your situation, but letting things/situations go isn’t easy, I can’t grantee you that you can, but if your allow God to take control of what is troubling you, you can. Oooh Yes you can.
 
Pole AD, ni Mapito tu, Naona kila mtu anakupa pole lakini hawasemi kama na wao inawatokea.
Ukweli ni kwamba inatokea katika Vipindi, Kuna wakati unakutana na situation inayokufanya usitamani kitu chochote, Lakini hayo ni mapito tu, Maisha yanatakiwa kuendelea, na kwa kuwa bado unaishi utakutana na mambo mengi, na jinsi unavyoyakabili ndivyo unavyozidi kuwa STRONG, nAKUSHAURI KUWA KAZA MOYO, Wacha lipite, na litakwisha utasahau, lakini pia itakujengea uwezo katika maisha na jinsi ulivyolikabili tatizo lako unaweza kuwa msaada kwa watu wnegine. Share Tatizo lako na watu walio karibu na unaowaamini, Usiache kumuomba mungu katika kila jambo unalopitia katika maisha yako.
 
Back
Top Bottom