Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 53
Wapendwa wangu wote
samahani sana na ninashukuru kwa
michango yenu wote na washukuru wote walioniambia
Chocho nimtangulize Mungu.. kwa ninachopitia sintoweza kabis
kuvire kebisha kwani kazi ya Mungu haina makosa... asanteni
wapendwa Mungu awaongezeee... Kweli kuna kupanda na kushuka
katika maisha.... mbarikiwe..
C ujiuwe tuuuu, ya nini kusononeka?
C ujiuwe tuuuu, ya nini kusononeka?
Hivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
<br />huyo dogo atakuwa kapinda. Ulaya life ni ngumu vile vile tena huku stress ni kitu cha kawaida watu wanaongea peke yao barabarani. Cha muhimu ni ajiweke busy ,atafute watu wa kuongea nao .afanye mazoezi ajaribu kujichanganya na watu stress itapungua na aweke ibada mbele.mmh! Umenikumbusha dogo mmoja huwa anatamani angezaliwa mbwa ulaya kuliko binadam tz maana mbwa wa kule wanatunzwa vizuri. Lol!<br />
Maisha usiyachukulie siriaz sana. Utapata vidonda vya tumbo bure.
wewe mtoto wewe una upweke ndio maana unawaza hivyo, umri kama wako inabidi uwe ushaolewa usibakie kuwaiga wazungu tu !!! wazungu akili zao wanazijuwa wenyeweHivi kuna saa nyingine
mtu una kaa nakufukiria Life is ****ing shit... why M I here???? Nina fanya nini tu kwenye hii dunia..
Si dhani ndoa ndo jibu ya kila tatizowewe mtoto wewe una upweke ndio maana unawaza hivyo, umri kama wako inabidi uwe ushaolewa usibakie kuwaiga wazungu tu !!! wazungu akili zao wanazijuwa wenyewe
Hey thanx..kitu gani kimetokea tena? unawaza sana! Ukiona ivyo panda ghorofani alafu angalia mji ulivyo and appreciate the beauty! Toka nje katembee kwenye botanical gardens! Pia unaweza kwenda mjini na kukaa kwenye zile cafe za nje uangalie watu wakipita na shughuli. It gives u a different perspective of life...
tc
Life fux everybody somehow sometimes...I don't believe in god,but I learnt to be satisfied with little things in life....like music,movies,reading and blogging and I was lucky to have found love...I mean real love!!
Keep ya Head up mami!
Hey thanx..
Na hongera lakini ulikuwa unatetemeka
Sana sijui ndo uoga wa watu wengi.. lakini tunakushukuru sana kwa kazi yote ngumu..
ndio mara ya kwanza. na unajua hutaki kusema kitu kilete picha mbaya!
huwezi kupata yote 5 na kukosa yote 5Si dhani ndoa ndo jibu ya kila tatizo
duniani.. na olewa ya usanii sitaki niache niendelee ku search my prince charming na kusubiri nikimpata yote 5 nikimkosa yote5 ..
Samahani Ivunga lakini hiyo kitu ndoahuwezi kupata yote 5 na kukosa yote 5
lakini kuna umri ukifika katika jamii yetu inabidi uwe ushawekwa ndani but kwa nchi za wenzetu hii haiwasumbui kabisa
Mi na yule bibi mzuri
aliekaa pembeni yangu tulikuwa
Tunakuchora sana mmmhhh .
njia nzima nyumbani dahhhhhh
lakini ulifanya vizuri sana.. si dhani kama
Kuna mtu pale angeongea kAma wewe.. pale iliponyanyua kitabu daahh si tulkchekeka ila
kisiri siri sana.. nway asante sana lakini.. mama mkwe ulimwona???