PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
DuuhNshatongoza wengi,nshatoswa mara kibao,nshadinya wengi....jitahidi kutongoza kwa akili....alafu jitahidi kuwa nadhifu na mcheshi utazipiga mpaka utakinai........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhNshatongoza wengi,nshatoswa mara kibao,nshadinya wengi....jitahidi kutongoza kwa akili....alafu jitahidi kuwa nadhifu na mcheshi utazipiga mpaka utakinai........
ChaiiiTafuta pesa watakuja wenyewe...
Hahahakweli dunia haieleweki wengine tunasumbuliwa na wanawake hadi kero wengine mnawatafuta
Ni kama Jackpot, kadiri unavocheza mara nyingi ndo unajiongezea nafasi ya kushinda.Duuh