Ni Mimi tu ndio naona na kusikia! Kampeni za CCM hazina Mvuto

mara nyingi mtu wa kushindwa hujifunza kwa alieshindwa, na huo ndiyo umaskini wa kizembe sana..

na kwa bidii sana mtu huyo mwenye tamaa ya kushindwa, hutafuta kila sababu za kushindwa kwake na kuzikariri vizuri sana, ili ashindwe zaid tena na tena, huku akiwa amekodoa macho na akipiga kelele na mayowe ya kushindwa huku akiwa hana uwezo hata wa kushindana...

Friends ladies and gentlemen,
Awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.

Elections is process. Ni kujipanga tu 🐒
 

My friends, ladies and gentlemen,

mvuto wa kishindo kikuu kwa CCM ni Nov 27, 2024 siku ya J5,

hakuna haja ya kubabaika wala kuwa na mawenge ya mapema ndrugu zango 🐒
Mkuu wa wilaya wa Ubongo mtarajiwa Tlaatlaah
 
Mvuto wa kampeni hauamui mshindi wa uchaguzi🐒
 
Ccm baba lao. Acha kuweweseka. Hatuwezi kuweka madarakanj wachaga sisi. Inajulikana wazi wachaga ni wezi
 
Hata chawa wenyewe kwa wenyewe wanatendeana uovu vipi wayatendayo kwa wapiga kula wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…