Ni mimi

Ni mimi

Hahaha by the way hizo n stress za kutokua na pesa....nan hali vzur humu? Nan anatembea uchi humu..wenye pesa haongeag .....pengine unamiliki tecko yako na kitanda unajiita unapesa....

N mtazamo tu tusichukiane
Kwanza kabisa nadhani inajulikana kwamba kichenza ndiye kijana anayevaa na kula vizuri jamii forum nzima na hilo halina upinzani...
anyway ni muda kidogo sijaonekana Jf, ishu ni kwamba nilikuwa nje ya nchi kwa ajili ya mapumziko kidogo na pia sikutaka kujishughulisha na Jf so nilikuwa tu nashinda kule twiter tukibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi mbali mbali.. But all in all kichenza nimerudi I'm herenow, nawasalimu sana... Kwa kichina nawasalimu sana tunasema (chinkwao shwaa)...
 
Mko nipe factors zilizokufanya uipende au uishi China pengine unaweza niko convince nizame humo
 
Kama asubuhi lazima nipate mchemsho wa mbuni na mayai yake na ndizi mshabuko kutoka sudani na juisi ya tende bardiiiiii...huu mlo wa asubuhi tu gharama yake ni kama laki na nusu kwa hiyo unaweza ukaona mwenyewe

[emoji23][emoji23]
 
Hahaha by the way hizo n stress za kutokua na pesa....nan hali vzur humu? Nan anatembea uchi humu..wenye pesa haongeag .....pengine unamiliki tecko yako na kitanda unajiita unapesa....
N mtazamo tu tusichukiane
Wiki ijayo nina safari ya uarabuni sio mbaya nikakuchukua ukashangae shangae kidogo
 
Back
Top Bottom