Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani hivi na dingi mmoja kuanza kuliamsha popo yule demu akamwambia yuke dingi mimi ni mdogo wake nina shida ya akili anipe hela ya soda nisiende sema kihomboy! 😂 Kila nikiiskia hiyo ngoma ya mb dogg huwa namkumbuka naishia kucheka mwenyewe!