simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mkuu nilikwenda dodoma nikabaki nashangaa, kila nyumba hata za nyasi juu kuna dishi ya Azam jamaa wako vizuri, tukatae tukubali!Safari zangu mikoani nimeshangaa wingi wa madishi ya Azam tv kila ni endepo. Siyo siri tena Azam tv imeteka soko la tv ya malipo. Je ni mbinu ipi Azam umetumia kuteka soko hadi kuwaungusha dstv zuku na kadhalika?
Siku Azam wataonyesha EPL watateka soko zima la Afrika Mashariki. Azam tv Kenya inayo ushindani mkubwa na zuku na bamba tv (free for life)Kinachowafanya Azam tv wauze kwa wingi Madishi yao ni kuoneshwa Live kwa Ligi kuu ya Tanzania -VPL, Taarifa zao za Habari pamoja na matukio mengine wanayoonesha Live kama vile Bunge na Uchaguzi Mkuu uliopita. Siku Azam wakichukua Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) Basi Multichoice na jamaa zake watafungasha virago.
Ina maana startimes ipo mbiyoni kuchukua mkataba vpl?simba na yanga, kama huamini subiri mkataba wao uishe wachukue deal startimes, watafugia nyuki hivyo ving'amuz
Ah! AZAM wanaghrama kubwa kuliko ving'amuzi vyote, huwezi pata BBC Ajazeera kama hujalipa 20000/ yaani bila kulipia 20000 hamana channels za maana. Azam NI jipu aasa.gharama nafuu
simba na yanga, kama huamini subiri mkataba wao uishe wachukue deal startimes, watafugia nyuki hivyo ving'amuz
Siku Azam wataonyesha EPL watateka soko zima la Afrika Mashariki. Azam tv Kenya inayo ushindani mkubwa na zuku na bamba tv (free for life)
huo ni ubuyu nakupa mkuuIna maana startimes ipo mbiyoni kuchukua mkataba vpl?
What happened to competitive tendering hadi startimes iwe na uhakika wa kushinda haki za kupeperusha vpl?huo ni ubuyu nakupa mkuu