Ni mkataba wa mdhamini mwingine wa Yanga

ASIE NA MAKUU

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
45
Reaction score
66
Nimeona tambo nyingi kuwa Yanga wanawinda saini ya Manzoki. Kwa intelijensia yangu ni kuwa wanasini mkataba na mdhamini mwingine. Hahaaaa bado Manzoki ni Mnyama.

Wanasimba tutulie ni swala la muda tu. Simba nguvu moja.

Ila viongozi wetu tumechoka kwa kutupa pressure, kama mzigo upo tupeni wachezaji ambao ni vipenzi vya mashabiki maana shughuli zao tunaziona.
 
WANASAINI MKATABA NA MDHAMINI MWINGINE WA......
 
Back
Top Bottom