ASIE NA MAKUU
Member
- Aug 10, 2021
- 45
- 66
Nimeona tambo nyingi kuwa Yanga wanawinda saini ya Manzoki. Kwa intelijensia yangu ni kuwa wanasini mkataba na mdhamini mwingine. Hahaaaa bado Manzoki ni Mnyama.
Wanasimba tutulie ni swala la muda tu. Simba nguvu moja.
Ila viongozi wetu tumechoka kwa kutupa pressure, kama mzigo upo tupeni wachezaji ambao ni vipenzi vya mashabiki maana shughuli zao tunaziona.