Ni mke wa mtu ila dah!

Shetani mkuu anajaribu kututoa kwenye track eti usizini Ni amri ya sita.
Mkuu tukiisikiliza sauti ya shetani atatuingiza mitegoni halafu yeye anakaa pembeni, lakini pia tutambue huyo binti nae sio mwanamke wa maana ni mshenzi fulani hivi, kwa maana mke wa mtu anayejiheshimu na kujua maadili ya ndoa hawezi kuwa lainilaini kwa watu wa pembeni.
Aachane nae atsmponza aukimbie mji kwa aibu.
 
Usitamani Mke wa jirani yako.
Tamaa tu hiyo Hakuna upendo hapo. Usiruhusu tamaa izidi uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi.
Nimekupata mkuu[emoji120] ila huyu mschana pia ni driving force ya mimi kutaka kufanya nae hiki kitendo kwa kuwa naona yeye kadhamiria zaidi kwa sasa

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Asee[emoji26]

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Kijana pambana na maisha umri unaenda, kadili siku zinavyokwenda ndio mabinti wazuri wanazaliwa kuujaza ulimwengu.

Tafuta hela na maisha kwanza watakuja mpaka uwakimbie tena akina Cleopatra kabisa kutoka Iraq na Egypt...

Zingatia ushauri huu 👆
 
bad enough mumewe yupo anasoma haya maandishi yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…