BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo jtano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but Im not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
hasipokuelewa huyo bas tenaMkuu..kosa moja kubwa umeshafanya ..kugawa namba ya simu.. Kosa la pili.. tayali umeshamweka kwenye akili yako kuwa ni mzuri n.k.. yaani unataka JF watu wakufagilie..hiyo "guilty consciousness" yako.
Umeshaambiwa na wengi.. kimbia... Jinsi ya kukimbia utajua wewe mwenyewe bila ya kumdhalilisha au kum- offend huyo mama/Bint? Ningekuwa mimi.. ningebadili namba.. Gharama ya marafiki zangu kunitafuta kwa namba mpya ni ndogo kuliko mtego huo.. Kwanza huwezi jua anamatatizo gani na familia yake..unaweza kujikuta kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti ya uwazi..
Mkuu..hilo bomu..usilishike labda kama unataka kujitoa muhanga..
Nashukuru mkuu nadhani itabidi nibadili muda wa kwenda kazini asubuhi na muda wa kutoka jioni, ikiwezekana evining time niongeze muda hapa jf. sijui ilikuwaje nikatoa namba yangu tena official one siwezi kuibadili kwaajili yake tu nitaharibu vingiMkuu..kosa moja kubwa umeshafanya ..kugawa namba ya simu.. Kosa la pili.. tayali umeshamweka kwenye akili yako kuwa ni mzuri n.k.. yaani unataka JF watu wakufagilie..hiyo "guilty consciousness" yako.
Umeshaambiwa na wengi.. kimbia... Jinsi ya kukimbia utajua wewe mwenyewe bila ya kumdhalilisha au kum- offend huyo mama/Bint? Ningekuwa mimi.. ningebadili namba.. Gharama ya marafiki zangu kunitafuta kwa namba mpya ni ndogo kuliko mtego huo.. Kwanza huwezi jua anamatatizo gani na familia yake..unaweza kujikuta kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti ya uwazi..
Mkuu..hilo bomu..usilishike labda kama unataka kujitoa muhanga..
Nimekuuliza maswali hujajibu kwahiyo nachukulia ni NO..NO and NO!Unavutiwa zaidi na mke wa mwenzio kuliko mchumba wako..na hii inasikitisha kweli maana unaonekana ni mwepesi sana kutamanikwa vigezo vya umbo..sura na sauti...mwenzio sijui akiwa mke utamsaliti mara ngapi kwa kutamani wazuri zaidi yake.Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me
No nO No Lizzy! Nampenda mchumba wangu it's just the tread ya huyu dada inanitisha and mimi ni binadamu kama wengine najaribu kutafuta njia ya kujinasua na mitego ningekuwa nimenasa sidhani kama angekatiza weekend hii, kwani awas avoiding her wikiend nzima.Nimekuuliza maswali hujajibu kwahiyo nachukulia ni NO..NO and NO!Unavutiwa zaidi na mke wa mwenzio kuliko mchumba wako..na hii inasikitisha kweli maana unaonekana ni mwepesi sana kutamanikwa vigezo vya umbo..sura na sauti...mwenzio sijui akiwa mke utamsaliti mara ngapi kwa kutamani wazuri zaidi yake.
Well then weka akili yako kwa mpenzi wako...hiyo mitego unayoongelea hata sijaiona...we unachotaka ni huruma ili ukiamua kufanya kweli urudi hapa kupokea huruma zaidi.Naamini kila mtu anaweza kua na msimamo akitaka....na wewe kua na msimamo.Kam kumpa lift ni tatizo sana mjulishe kwamba hutoweza tena na unaomba msitishe mawasiliano pia.Sidhani kama kuna anachokudai kinachokufanya usiwe na maamuzi juu ya kutaka au kukataa mawasiliano/ukaribu nae.No nO No Lizzy! Nampenda mchumba wangu it's just the tread ya huyu dada inanitisha and mimi ni binadamu kama wengine najaribu kutafuta njia ya kujinasua na mitego ningekuwa nimenasa sidhani kama angekatiza weekend hii, kwani awas avoiding her wikiend nzima.
Huna haja ya kubadili nambari ya simu wala kubadilisha taratibu na mipango yako. If you have guts, leo jioni toka au kesho asubuhi nenda kazini kama saa zako za kawaida. Bila ya shaka atakuwepo. Simamisha gari, atasogea, usimfungulie mlango bal teremsha kioo na mwambie wazi wazi: "Samahani na tafadhali sana, wachana na mimi". Ondosha gari kiulaini wala usiangalie nyuma.Nashukuru mkuu nadhani itabidi nibadili muda wa kwenda kazini asubuhi na muda wa kutoka jioni, ikiwezekana evining time niongeze muda hapa jf. sijui ilikuwaje nikatoa namba yangu tena official one siwezi kuibadili kwaajili yake tu nitaharibu vingi