Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

Wengine huwa ni matapeli pia.. kuwa makini kaka. Usije mpa lift mara nyingine ukajikuta muhimbili umetundikiwa drip.. wala hujui umefikaje huna gari wala vilivyokuwemo ndani ya gari. So watch out..
 
Thanks Guys for your inputs! mmenipa wigo mpana wa kuweza kudeal na hili swala lengo langu kubwa ni kuhakikisha siingii kwenye mitego yake na kutenda dhambi. Naanza kuzifanyia kazi comments zenu jioni hii hii.. naogopa mke wa mtu
 
bro jitahidi sana kutokuingia majaribuni even if she is cute kwani mchumba wako sio cute?
 
Utapotea kijana. urudi kwenu kwakijiji wake zawa2 nuhusi kweli acha kumpa lift or ish na dem wako japo kwa mwezi na anytime kuwa na p wako karibu
 


...'shuttle launch' the Journey to the Unknown hiyo kaka, kitufe cha start/stop kipo mkononi mwako.
 
..eh! bahati ilioje sheikh.
Namfahamu huyo dada, ndo maana siku hizi simuoni pale alipokuwa anashukia. So kwa kuwa namfahamu mchumba wako nakushauri 'wajibika' kwa huyo mke wa mtu wakati na mimi na'get bize' na mchumba wako. (kwanza ni mchumba tu, so hana uzito wowote) Cheers! God bless you!
 
Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?

Sikiliza Elia,
Mle kwanza, ukimaliza utaona pamoja na uzuri wake yuko sawa au hamfikii kabisa mchumba wako kwa uroda, hapo ndio utaweza kutulia. Mara moja na usijenge kibanda tafadhali utakutwa. Hakuna aliyeiba mara moja akakamatwa (Sijui nimekupa ushauri wa kishetani???sijui)
 
Anauliza mipango ya week end? Sitaki kuamini huyo mpewa lifti ni mke wa mtu, hiyo itakuwa gia yake ya kutaka umuone ni mtu anayejiheshimu! Kuwa makini hiyo ni syndicate imekupania, na wanamjua demu wako vizuri tu!
 
Yes bro! I promised myself kutotembea na mke wa mtu, help me how can i avoid her?
Simple,akikupigia usipokee,akituma msg usi reply,ukimkuta kituoni funga vioo,akitumia namba usiyoijua ukapokea kama asubuhi mwambie umeshapita kituoni na kama jioni mwambie umeshatoka na unakaribia nyumbani;hata kama hajui kusoma ataona picha na ataelewa somo kama kichwani yuko vizuri. Akikupigia akauliza kwa nini unamu avoid mwambie mchumba wako hafurahii lift unazompa na ukaribu wenu kwa hiyo ungefurahi kama angeacha kukupigia na kukutumia sms. Bora Lawama Kuliko Fedheha.
 


...'shuttle launch' the Journey to the Unknown hiyo kaka, kitufe cha start/stop kipo mkononi mwako.

Thanks Nimekuelewa its matter of time
 
Dah...naona hapa kila mtu ana act innocent kabisaaa..

Dogo Elia, umesoma uzi wa Asprin wa kucheat responsibly? ni hayo tu
 
Mkuu nafikiri unaweza kuepuka hayo majaribu, thou huko ulikoelekea hakupaswa kufika huko kabisa
 
I see!!!!
 
swali; ulimpa namba zako zote, tigo, voda, airtel na zain? kama ulimpa moja ipumzishe usiitumie, alafu kwa gari badili njia ya kupita ili usikumbane nae na ikitokea umekutana nae make sure unampa lift mtu wa tatu ili mazungumzo yake yasielekee kwenye mapenz, maana huu mwili wa kiume kusema NO inakuwaga ngumu sana, so jitaidi kumpiga chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…