makirikiri-2
Member
- Jun 17, 2011
- 20
- 2
Mimi mwenyewe hata sikuelewi sijui umepata sehemu mpya ya uwekezaji maana hauonekanihivi ile kazi Dogo inakuwaje mbona kama majukumu huyatekelezi ipasavyo?
Mimi mwenyewe hata sikuelewi sijui umepata sehemu mpya ya uwekezaji maana hauonekani
Hahaha!!!! Mimi naepuka vishawishi banaa hapa nampa hint Elia asiingie majaribuni maana naona ameishaanza kuchonga mzinganhahaha, una macho lakini huoni, una masikio lakini husikii sasa wacha nimtafutie sweetie PA mwengine,..lile jimama la hapo kijiweni naona linakupeleka pabaya
Nisamehe, halafu acha unoko lol!!!Nawaripoti kwa PAW sasa hivi, mambo gani kujadili mabiashara yenu hapa na kuharibu mtiririko wa mada ya mwenyewe?
Nawaripoti kwa PAW sasa hivi, mambo gani kujadili mabiashara yenu hapa na kuharibu mtiririko wa mada ya mwenyewe?
Hahaha!!!! Mimi naepuka vishawishi banaa hapa nampa hint Elia asiingie majaribuni maana naona ameishaanza kuchonga mzinga
Watakatifu wa siku za mwisho!hivi B, huyo PAW anasali kanisa gani?
Mmekusamehe (lol) ukirudia naripoti maana unoko ndo jadi yangu mbona!Nisamehe, halafu acha unoko lol!!!
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo jtano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but Im not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
Sasa uongo wa nini? Kutoa lifti si hiyari bana. Akatae tu basi, hakuna longolongo hapa. 'usinipigie wala kuniandikia ujumbe kwenye simu yangu'Mwambie mchumba wako amejua huwa unampa lift na imesababisha ugomvi mkubwa, hivyo mwambie aache kukupigia na kutuma meseji.
Angalia dhambi iko mlangoni inakuotea, inakubidi uishinde! Kimbia mapema kabla hujafika mbali...............
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo Jioni alinipigia simu kuniuliza kama nimetoka kazini ili nimsaidie lift. Bahati nzuri nilikuwa karibu kutoka ofcn, akaopt kunisubiri. On ourway home Aliniuliza ninaishi na nani, nikamjibu na wadogo zangu na nina mchumba yupo hapahapa Bongo ila hatuishi nae. Akasema yeye anaishi na mumewe na wana mototo mmoja wa miaka minne, mumewe ni mtu wa kusafiri sana safari za mikoani. Lakini Kuanzia hiyo j'tano she keep on trying to be close to me, also she asked my weekend plans. I managed to avoid meeting with her this weekend but I'm not sure if my strength to avoid her forever will persist longer coz she is so cute. Sina uhakika kama anataka mahusiano lakini ni ngumu kumkatalia akitaka. The way she talk, the way she look, the way she ask, her figure Uhhhhh! dud Nifanyeje na huyu mtu? Leo nilipanga sinta mpa-lift sikupokea hata simu yake asubuhi lakini nilipofika kituoni ikawa kama mbwa mbele ya chatu.
Elia issue niliogundua hapa ni kwamba usha jua kua hafai kua nae karibu na ni dhahiri kua anakuvutia in one way or another uwe nae hasa kwa njia ya kuiba - mumewe kuwa msafiri kama advantage... Ni wanawake wachache walo olewa wana guts ya kujitongozesha kwa wanaume na kama anafanya hivyo kwako naomba ujue wee sio mtu wa kwanza... na bora hata ungekua na wife ... labda angekua na soni kidogo... Hivyo kweli la kufanya la kwanza ni kuacha kuambatana nae na kumchukua kazini as if tayari wewe ndo mumewe.... Kwanza ni hatari hata kama mlikua hamfanyi hivyo wengi watafikiri hivyo... na mjini hapa.... habari zinatembea kwa kasi ya ajabu...
Mwajuma bana, hivi kwa nini watanzania huwa waoga kusema maamuzi yao. Yaani aanze kuhangaika kumdanganya ili iweje hasa. Kama mimi nikishaona unanizingua nakupa black and white period. Mkuu Elia mimi nadhani itakuwa busara sana kama ukimweleza tu kuwa hufurahishwi na huyo dada na hutopenda kuendelea kumpa lifti. Yeah naelewa kwa wengi wetu ni ngumu lakini ili kushinda majaribu yanayokusibu nadhani hii ni njia muafaka. Na zaidi kama unaona ni ngumu hebu mshirikishe mchumba wako pia.Mwambie mchumba wako amejua huwa unampa lift na imesababisha ugomvi mkubwa, hivyo mwambie aache kukupigia na kutuma meseji.