Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?


Run man run.Usimpe lift tena,sitisha mahusiano yoyote na yeye.I know what you intend to do, oh! no, it's wrong.Imagine ungefanyiwa hivyo wewe.
 
Kwa jinsi Elia navyoelezea wasifu wa huyo msichana..........ni dhairi kuwa ametekwa tayari.........anaweza kupanga na maneno ya kuongea...........then msichana akitokea tu................maneno yote yanayeyuka!
Mpaka amemlileta hapa ina maana kazidiwa......................AMSHIRIKISHE MCHUMBA WAKE........ndie msaidizi wake huyo.
 

Huyo sidhani kama angependa kumshirikisha
 

Mkuu hayo ndio maisha ya vijana wa leo, hasa wenye japo kausafiri!! kua uyaone...

Na itafika siku na wewe utakua na mke, utakua unasafiri, atakua anatamani lift na atapata, atatamani, na atatamaniwa na ndivyo life ilivyo

what you are experiencing is one of many untold stories of Love, Family and life....

WELCOME TO THE WORLD BUDDY
 
Yes nina mchumba ndio maana nataka nisiingie ndani zaidi kuharibu. but she keep on texting and calling me
NakuPM namba yangu umpe kama unaona anakusumbua sana na uniPM uniambie huwa unamchukua maeneo gani asubuhi,mie sina mchumba.
 
elia hawezi kuacha kumlamba huyo mwanamke hata mseme na kumshauri vp, kashasema yeye ni kama mbwa akikionana na chatu pindi akimuona huyo mke wa mtu, kwa hiyo no way! At last atausikiliza moyo wake unavosema.
 

Mi nilidhani umekanyaga then unaomba ushauri...lkn kama bado sitasema kitu...kanyaga then ask what next, the mashine was so exicited, is it tight? has she finished and passed night school? Men if cant handle the issue PM will help you for this
 
Mi nilidhani umekanyaga then unaomba ushauri...lkn kama bado sitasema kitu...kanyaga then ask what next, the mashine was so exicited, is it tight? has she finished and passed night school? Men if cant handle the issue PM will help you for this

Akikanyaga na akanasa??
Aje alete thread "nimekuwa addicted kwa mke wa mtu.......naomba ushauri"?................acha kumpotosha mwenzako Magulu.
 
Akikanyaga na akanasa??
Aje alete thread "nimekuwa addicted kwa mke wa mtu.......naomba ushauri"?................acha kumpotosha mwenzako Magulu.


halafu wewe mkuu una akili kweli hebu mshauri faster faster..kama hana la kufanya aongee na Aspirin...
 


hahaha Hommie kumbe na wewe ni wale wale? Weka tano na mguu wa kushoto weka pembeni kabisa lkn kulia kanyaga mpaka mwisho, weka wimbo uupendao then shukuru mungu.....Dah bahati zingine bwana mie kila siku kituoni nakaaga kusubiri kama hizo bahati...
 
hahaha Hommie kumbe na wewe ni wale wale? Weka tano na mguu wa kushoto weka pembeni kabisa lkn kulia kanyaga mpaka mwisho, weka wimbo uupendao then shukuru mungu.....Dah bahati zingine bwana mie kila siku kituoni nakaaga kusubiri kama hizo bahati...

Unakaaga kusubiri lifti au kusubiri warembo waombe lifti?
 
Kaka kaka kaka AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO
1. Yawezekana analosema ni kweli na anahitaji msaada wa kiutu uzima
2. Yawezekana ni professional changu, kujifanya mke wa mtu ili ujione unammegea mtu kumbe unamegewa wewe
3. Pengine ni usalama wa taifa anahitaji kukuchunguza
4. Ukijua ni mke wa mtu usikimbilie kumega bila kumjua undani wake ikiwezekana mpaka mmewe umjue, maana umedhamiria kufanya dhambi
La mwisho
Rudia hadithi ya samson na delila
 
Mkuu Elia hiyo kitu ni noma! au kaona hayo maua akadhani ni yake? Hilo gulugunya achana nalo litakuletea balaa kubwa ndugu yetu
 
Tembea nae lakini mara moja tu,Pia hakikisha unatumia dawa ya penzi,kitu kingine cha kuzingatia ni lift...usiache kumpa lift
 
Ooh kijana hatari hyo. Kama huwezi kumnyima lift jaribu muwe zaidi ya wawili ndani ya gari. Waweza kumpa mwingine lift kituo cha nyuma akakaa mbele.(itapunguza mazungumzo hatarishi ndani ya gari). Usijibu msg zake kama huwezi kuacha kujibu basi usijibu kwa wakati. Usientertain maongezi yote ya kimapenzi mapenzi.
Penda kumzungumzia mpenz wako unapokuwa nae mke wa mtu (wanawake wengi hawapendi hili) pia wawezi kuwa unampigia simu mpnz wako wakati yeye yupo (hii itamfanya aone kwamba mawazo na akili yako haipo kwake).
Nitarudi baadae kama ushauri haujaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…