R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Jul 29, 2026 #1 Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe Kwa watu wa Pwani wanapasifia sana kwa Maankuli ya vitoweo kutoka baharini, watu wa Supu ya Pweza, Papa na ubwabwa wa nazi. Zaidi wengi hupasifia Mbeya kwamba kuna vyakula vingi ila sijajua upande wa mapishi hali ikoje
Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe Kwa watu wa Pwani wanapasifia sana kwa Maankuli ya vitoweo kutoka baharini, watu wa Supu ya Pweza, Papa na ubwabwa wa nazi. Zaidi wengi hupasifia Mbeya kwamba kuna vyakula vingi ila sijajua upande wa mapishi hali ikoje
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 22,235 Reaction score 51,111 Jul 29, 2026 #2 Pwani hasa ndiyo penye jiko👌
K Kimbukiko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2022 Posts 6,299 Reaction score 11,478 Jul 29, 2026 #3 Mbeya wadau ,kule ni noma. Unakula na kusaza