Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

Wakuu kuna Mkuu mmoja kani PM anasema kuwa Mzee Kenyatta wa Kenya (RIP) alikuwa na kibali maalum kila wiki akivuka kuingia Tanga bila bughudhaa kwa siri, chini ya ulinzi wa Mashushu ya TZ na Kenya ili mzee apate kujiendeshea magari ya Tanga kwa raha zake! hii ni habari njema kwa Tanga kama ni ukweli. Uwekekazi huu katika magari yanayovutia East africa.
 
Hizo gari zinazopita kwenye tope ni hatari,ikishakuwa mazoea hizo barabara za tope si zitazidi kuchimbika, matokeo yake zitakuwa zinahifadhi tope hata mvua isiponyesha,na hata gari ndogo ikitaka kupita tope litakuwa linaruka ovyo
 
Arafat ogopa magari ya Dar ....huwa na mabody mazuri ila Engine ziko used sana unaweza kuona hummer ila mileage ni kubwa mno sababu ya kushushwa Engine na overhaul za mara kwa mara!
hapa mchungaji tuko pamoja kabisa,eti wao wanasema uzuri wa gari ni body na sio injini,LOL
 
Kuna jamaa alienda tanga akiwa na laki 7 za biz. Baada ya wk 2 alirudi dar mtupu ila bila majuto yoyote. Nitaenda tanga tu

Nadhani kwasababu gharama za Petroli zimeongezeka
 
Wazee nimemuelewa Arafat. Ni kwamba alipata mtoto wa kitanga mweusi au mwafrika. Nafikiri yeye atakuwa mwarabu, mmanga au mgunya then mtoto aliamua kumpa arafat kiboga/samvu bila kuomba. I stand to be corrected. Nawasilisha mazee
 
Wazee nimemuelewa Arafat. Ni kwamba alipata mtoto wa kitanga mweusi au mwafrika. Nafikiri yeye atakuwa mwarabu, mmanga au mgunya then mtoto aliamua kumpa arafat kiboga/samvu bila kuomba. I stand to be corrected. Nawasilisha mazee

Malongo umetokea wapi tena?

Malongo umeniacha kwenye 'Mgunya!'
 
hakuna mahali kama A town A town!
 
hakuna mahali kama A town A town!

Kuna nini huko A Town, ni hizo tope au lami,au mambo mchanganyiko tope na lami, watu bwana wengine wanasifia barabara za tope zilizo na nyasi, hii si hatari mchanganyiko wa tope na nyasi
 
A town mahela, makilakitu wazeee.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…