Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 759
- Thread starter
- #81
Wakuu kuna Mkuu mmoja kani PM anasema kuwa Mzee Kenyatta wa Kenya (RIP) alikuwa na kibali maalum kila wiki akivuka kuingia Tanga bila bughudhaa kwa siri, chini ya ulinzi wa Mashushu ya TZ na Kenya ili mzee apate kujiendeshea magari ya Tanga kwa raha zake! hii ni habari njema kwa Tanga kama ni ukweli. Uwekekazi huu katika magari yanayovutia East africa.