Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

Arafat

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Posts
2,581
Reaction score
759
Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia!

Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car maana ni siku nyingi sijapata kuendesha black car! Nilifanya makeke na kupata gari jeusi kama nilivyotaka, halina miaka mingi bado jipyaa! ila limetumika kiasi chake.

Nikiwa na furaha na raha tere, baada ya kuingia ndani ya gari nikafunga mkanda wakati bado shangaa dashboard ili kujipa muda kulielewa gari na jinsi ya switch-on, nilishangaa gari lenye linaingiza four-wheel na kuanza kuondoka huku bado nimedua sija-synchlonise mwendo safari ikakolezwa kupasua tope! Nilichanganyikiwa kwa furaha na raha juu ya gari hili.

Baadaye nilipouliza inakuwaje gari lina-engage four wheel haraka hivyo tene lenyewe Niliambiwa "Unabahati sana shukuru Mungu hiyo ni heshima nimekupa wewe peke yako si kila mtu anapata hiyo heshima!"

Kitendo hicho kimenifanya ni-rank Tanga kuwa Na.01 Tanzania nzima. Kama kuna mkoa unazidi Tanga nijuzeni Tafadhali sana.
 
Naona kaandika sijui ni Poem sijui ni nini halafu anasema tumjuze kitu ambacho hatujaelewa

Nilijaribu kila angle niweze kumjuza nikashindwa, bada ya ku scroll nikakuta TF umeniridhisha.
 
Karibu na Kagera kuna gari ya upepo na maji!

Thanks Rev; Kagera sijawafika Rev, ila lazima nije next time maana magari ya maji nayasikia sana huko Mkoani kagera ila kiukweli sijawai kuyaendesha nikaona yanavyotumia maji.
 
...Rev Masa na bwana Arafat, hizo gari ni manual au auto? :A S 39:
mitaa ya mji mkongwe (unguja) maarufu kwa jina la 'narrow streets'
kuna gari classics mle, ...zafukizwa, hazina vishindo wala kelele.

Tembea ujionee...
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mkuu Gari likiwa na Pafumes ndani huwezi kupata mafua? hasa hayo Magari ya Pembe lazima yatakuwa tinted!
 
aaaah, chafya tena?...Unguja gari lakoshwa kwa maji ya asumini, iliki na mdalasini, ikisha lafukizwa na Al Oud uloroweshewa na manukato ya Asli Ruh Gulab, mnh...mantashahu!
Utaendesha kutwaa kucha huku ukiburdishwa na Nadi Ikwaan Safwaa...-shada la maua.

...uchoke weye tu.
 
Last edited by a moderator:
aaaah, chafya tena?...Unguja gari lakoshwa kwa maji ya asumini, iliki na mdalasini, ikisha lafukizwa na Al Oud uloroweshewa na manukato ya Asli Ruh Gulab, mnh...mantashahu!
Utaendesha kutwaa kucha huku ukiburdishwa na Nadi Ikwaan Safwaa...

...uchoke weye tu.

Mhhhh! Kumbe nawe ni mpenzi wa mambo haya eeh! 🙂
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mhhhh! Kumbe nawe ni mpenzi wa mambo haya eeh! 🙂

...ha h ahha,...pwani joto yakhe, raha ya pwani uvae msuli, kisha zafwatiwa na raha raha kama hizo.
Taarabu, wali wa asumini, chai ya viungo, vipo poo, visheti na vileja...raha mustarekhe.

Miezi michache ilopita nilipewa recipe ya Milkshake ya Tende (Dates)...shughuli yake si ndogo kaka.
 
Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia!

Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car maana ni siku nyingi sijapata kuendesha black car! Nilifanya makeke na kupata gari jeusi kama nilivyotaka, halina miaka mingi bado jipyaa! ila limetumika kiasi chake.

Nikiwa na furaha na raha tere, baada ya kuingia ndani ya gari nikafunga mkanda wakati bado shangaa dashboard ili kujipa muda kulielewa gari na jinsi ya switch-on, nilishangaa gari lenye linaingiza four-wheel na kuanza kuondoka huku bado nimedua sija-synchlonise mwendo safari ikakolezwa kupasua tope! Nilichanganyikiwa kwa furaha na raha juu ya gari hili.

Baadaye nilipouliza inakuwaje gari lina-engage four wheel haraka hivyo tene lenyewe Niliambiwa "Unabahati sana shukuru Mungu hiyo ni heshima nimekupa wewe peke yako si kila mtu anapata hiyo heshima!"

Kitendo hicho kimenifanya ni-rank Tanga kuwa Na.01 Tanzania nzima. Kama kuna mkoa unazidi Tanga nijuzeni Tafadhali sana.

Tanga kuna majini na hilo gari ulilolipata wewe, lenye uwezo wa kuongea ni jini, jiandae usiku wa leo kupigwa Msambiazi.
 
Back
Top Bottom