Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Manyovu?? Starehe ya mawese au??Manyovu kuna starehe zaidi ya Las Vegas
Mwanza pamenipa limbwata,
daaah mkuu kuitaja Dar kwa ulinganifu wa Chato ni dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Hahaha ushaenda kuhesabiwa mkuuu mida ndo hiiKilimanjaro.....kule bei ya mbege ipo chini na inapatikana kwa wingi pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wali 200Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Dar Ofcoz ni special caseKuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Kula sawa.Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.
Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Siendi mbinguni.daaah mkuu kuitaja Dar kwa ulinganifu wa Chato ni dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]