Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wali 200
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.

@platzoom habari ndo maana nimeongelea mambo ya quality pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaio ukienda na buku unabeba maskini wenzio km wa 4 ivi
 
Ruvuma is my dream region...ooh God hear me to make my destination there

Ruvuma naukiss mwa mwa mwaaa..!
 
Kuna mikoa unaweza jikuta mkoa mzima unayeongea lafudhi ya kiswahili iliyonyooka na fasaha ni wewe, unageuka kuwa wa maonyesho.

Dar is the best unakula chochote mda wowote kwa kiasi cha pesa ulichonacho, kuna wali maharage wa 200 mpaka wali maharage wa laki 2, unachotaka unapata kulingana na pesa yako, kwingine unapesa ila hakuna quality ya ukitakacho, mfano Chato mji mzima hakuna kachori hawajui ila Dar kila kitu unapata.
Kwanini chato? kuna kitu unakitafuta
 
Unamaana mzee Baba ukimpa kachori anaweza kui font peji?
 
Yechu Yechu Dingilai. Mambo ni Dandara. Mamikoa yenu yamedorora hadi kudoda, huku kwetu ni kuwanda kwa kwenda mapeleeee. Yech yechu Ara Chuga moja babulai. Ngarenaro ndio manchi yetu acha sasa Olodonyo Sambu Namanga ndio mamikoa yetu.
Karibu Harifu
 
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.

@platzoom habari ndo maana nimeongelea mambo ya quality pia.
Mchele VP unapenya vidoleni
 
Niko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha familia yangu yote.
How abt u guys, What's your favourite region any why.
AM WITH U,,,NAIPENDA DOM BALAAA, NIMEISHI PALE MIAKA MITANO, BT THEN NOW NIPO MBEYA ILA NATAMANI SANA NIRUDI DOM
 
Yechu Yechu Dingilai. Mambo ni Dandara. Mamikoa yenu yamedorora hadi kudoda, huku kwetu ni kuwanda kwa kwenda mapeleeee. Yech yechu Ara Chuga moja babulai. Ngarenaro ndio manchi yetu acha sasa Olodonyo Sambu Namanga ndio mamikoa yetu.
Karibu Harifu
Arusha nna historia napo pia
 
Back
Top Bottom