Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

Ni mkoa gani uupendao kuliko yote.

We Dom sema umekuja kipindi iki ujaja kiangazi wewe nahisi ungebadilj msemo wako
 
Niko dsm ila kiukweli I love Dom, kuanzia hali ya hewa na mazingira, na everything, sehem za starehe, i mean kila kitu, japo life popote ila I wish nipate uhamisho nipangiwe huko, nahamisha familia yangu yote.
How abt u guys, What's your favourite region any why.
Dom kuna hali hewa gani zaidi ya kupauka kama t*k*,nilipita kitambo sana hapo Dom yaani watu wamepauka hata wakipaka mafuta ya kupikia hawang'ai
 
● Hakuna mahali kama ARUSHA.

...×.....×.....×....×......×.....×.....×.....
 
Kwahiyo ukitoa buku ni sahani tano.

Ukiwa na wageni unawapeleka hotelini kuwalisha wote kila mmoja na sahani yake kwa buku.
Shule ya msingi mwongozo, kichangani wilaya ya kinondoni wanauziwa wali kwa bei hiyo mkuu.
 
Ingawa nimezaliwa DSM nimekulia DSM ila asili ni Arusha nakupenda sana japo nilienda mara chache sana
 
Back
Top Bottom