Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 594
Nitaelewa ikifika mwaka huu mwezi wa piliAtakayeelewa ani pm
Hakuna kitu kama ichi,ushauri wa namna hii uwa naudharau sana, ati " fanya mwenyewe" biashara yyt ile ukitaka ikue kuajiri watu hakuepukiki. Kikubwa unachopaswa kumwambia ni kwamba ama atafute dereva mwingine au umpe makavu kuwa anafanya biashara na sio ujasiriamali kwaiyo kuteseka ni lazima.Acheni kuwapa madereva kama mitaji yenu midogo.
Ingia barabarani mwenyewe uone kama hio biashara hailipi. Pesa zipo ila mnaibiwa.
Nyie ndo husema uber ,biashara ya duka, kulima nk hazilipi. Hizo biashara zin pesa nyingi ukiifanya mwenyewe.
Endesha hio pikipiki mwenyewe uone kam hutoiona pesa yako
Hakuna kitu kama ichi,ushauri wa namna hii uwa naudharau sana, ati " fanya mwenyewe" biashara yyt ile ukitaka ikue kuajiri watu hakuepukiki. Kikubwa unachopaswa kumwambia ni kwamba ama atafute dereva mwingine au umpe makavu kuwa anafanya biashara na sio ujasiriamali kwaiyo kuteseka ni lazima.
Acheni kuwapa madereva kama mitaji yenu midogo.
Ingia barabarani mwenyewe uone kama hio biashara hailipi. Pesa zipo ila mnaibiwa.
Nyie ndo husema uber ,biashara ya duka, kulima nk hazilipi. Hizo biashara zin pesa nyingi ukiifanya mwenyewe.
Endesha hio pikipiki mwenyewe uone kam hutoiona pesa yako
Mkuu upo sahihi.Hakuna kitu kama ichi,ushauri wa namna hii uwa naudharau sana, ati " fanya mwenyewe" biashara yyt ile ukitaka ikue kuajiri watu hakuepukiki. Kikubwa unachopaswa kumwambia ni kwamba ama atafute dereva mwingine au umpe makavu kuwa anafanya biashara na sio ujasiriamali kwaiyo kuteseka ni lazima.
pole sanaNi mwaka mmoja nimekuwa kwenye hii biashara ya bodaboda, wiki 2 zilizopita baada ya kubadilisha tairi LA mbele la toyo, leo bike yangu ya toyo imepiga shoti kwenye wiring..sasa cjui ni dereva wa bodaboda anakula njama na fundi ili nitoe hela, hlf toyo yenyewe mwezi wa pili mwaka huu ndo imetimiza miaka 3 tu tangu inunuliwe, wiring elf 20 hlf hesabu elf 30 kwa wiki kuna faida hapo kweli
Narekebisha ili tatizo, ikitokea tatizo lingine nauza bike😡sijui wameniloga, coz juzi nlianza kuuza skygo kwa mkataba, nkiuza hizi bike mbili ntabakiwaa na bike 1, sijui ndo kufilisika kunapoanzia..