Ni mnyama gani huyu jamani?

Wabongo tulivyo ma bushman kikionekana bongo kitu kigeni kabla hata wataslamu hawajaitwa kujua ni kiumbe gani , kilikuwepo duniani au ndio kumegunduliwa basi cha kwanza kwao ni kipondo kwa hasira kali hadi kukiua mavyokuja kushtuka ni specie mpya ambayo ingeiingizia nchi fedha za kigeni tayari wamesha ua

Sisi ni tofauti na wazungu ambapo wakimuona mnyama wanamchunguza ametokea wapi kama kapotea wanamkamata na kumrudisha mazingira yake ya asili. Sisi samaki mkubwa akirushwa ufukweni na wimbi watu badala ya kusaidia arudivbaharini wanaanza kumgawana hivyo hivyo kwa myama pori
 
Huyo ni mdoli wa plastic jamaa amem-zoom akampiga picha.
 
Hizo fedha za kigeni zinaishia kwa wale wazee wenye suti alaf nchi inajengwa kwa kodi uliyolipa wakati unanunua bando.
Kwahyo hivyo vidude ni nya kuua tuu ili mabwana wale wasijepata chanzokipya cha kipato chao.
 
Ndugu na [mention]Everglow [/mention] huyu[emoji23][emoji23]
 
Hicho ni Kiazi Kitamu kikubwa kilichoongezewa Miguu na sura ya Kidudumtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…