Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

Ni moderators gani humu JF unaowapenda au kuwachukia???

Kumbe ni usiku tayari? acha nikalale niwapishe wakubwa...

Hakuna kitu Anti, mi nimestuka kuskia lolipop... kanikumbusha huu wimbo:

Hahahaha.....usijali Mwali, naona YM alitaka kunisahaulisha hayo mambo yake ya mavampire! Well......nite nite niece, ulale unono mpendwa wangu!
 
Last edited by a moderator:
Sasa unamchukia mod wakati wewe ndio umefanya kosa...!
Km umevunja sheria ukiadhibiwa unamchukia Mod sasa wakikuacha JF itakuwaje? Ijae matusi na uchafu?
Ukiwa mstaarabu hutakuwa na bifu nao na kwanza hata hutokumbuka km wapo coz hawatakuhusu.
Mi nawapenda watu wote
 
brazaaa!...huna hangover kweli wewe Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Asavali umelitambua hilo! Nataka zile za Yoguettaaaaa.......lol!

Hizo za Yorguetta utaziweza kweli usiku huu?? Mimi naona hautaziweza ngoja nikupe hii hapa....Au wewe unaonaje dear?
 
Mi nampenda ile kiukweli ukweli RR (sijui ameolewa?),,
Invisible, PAW, X-Paster, Buchanan, Kang na wengine wote, Salute...
Max pamoja na Waanzilishi wengine wa Jei Efu, One love...
Sina ninayemchukia...
 
Hizo za Yorguetta utaziweza kweli usiku huu?? Mimi naona hautaziweza ngoja nikupe hii hapa....Au wewe unaonaje dear?
Young_Master dear, nadhani tumechakachua topic vya kutosha.......ebu tuache thread iendelee ya kwetu tutaongelea pembeni!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom