Kumbe ni usiku tayari? acha nikalale niwapishe wakubwa...Ndiyo hayo ndiyo! Washangaa nini ? Si ni usiku huu jamani !
Hakuna kitu Anti, mi nimestuka kuskia lolipop... kanikumbusha huu wimbo:
Kumbe ni usiku tayari? acha nikalale niwapishe wakubwa...
Hakuna kitu Anti, mi nimestuka kuskia lolipop... kanikumbusha huu wimbo:
Sasa unamchukia mod wakati wewe ndio umefanya kosa...!
Km umevunja sheria ukiadhibiwa unamchukia Mod sasa wakikuacha JF itakuwaje? Ijae matusi na uchafu?
Ukiwa mstaarabu hutakuwa na bifu nao na kwanza hata hutokumbuka km wapo coz hawatakuhusu.
Mi nawapenda watu wote
Hahaha.....asante kwa kunifanya nifurahi mpendwa wangu!!
Asavali umelitambua hilo! Nataka zile za Yoguettaaaaa.......lol!
sina ninayemchukia wala kumpenda...........
mimi hata hao moderators siwafahamu...
umenichekesha kweli.
Yaani Kipipi unanifanya nicheke hadi nimejikojolea. Ama kweli wewe ni mwoga.
Young_Master dear, nadhani tumechakachua topic vya kutosha.......ebu tuache thread iendelee ya kwetu tutaongelea pembeni!Hizo za Yorguetta utaziweza kweli usiku huu?? Mimi naona hautaziweza ngoja nikupe hii hapa....Au wewe unaonaje dear?